MKAGUZI DARAJA LA II (Uluberia)

MKAGUZI DARAJA LA II (Uluberia)

10 Aug
|
Vedastus Watosha
|
Uluberia

10 Aug

Vedastus Watosha

Uluberia

Home

JOB ALERT

USAILI PORTAL

MKAGUZI DARAJA LA II

MKAGUZI DARAJA LA II – Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)

Discover more

business

Finance

Civil Engineering

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) imetangaza ajira mpya kwa nafasi ya MKAGUZI DARAJA LA II zenye jumla ya nafasi 121. Hii ni fursa muhimu kwa wahitimu wa uhasibu na fedha wanaotamani kufanya kazi serikalini.

? Taarifa za Kazi

TaasisI: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
Cheo: Mkaguzi Daraja la II
Idadi ya Nafasi: 121
Ngazi ya Mshahara: SAIS. E
Kipindi cha Maombi: 10/01/2026 – 24/01/2026

? Majukumu ya Kazi

Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (audit programme)
Kuandaa taarifa za kila robo mwaka na kuziwasilisha kwa msimamizi wa kazi
Kukagua hati za malipo, stakabadhi na akaunti za benki
Kufanya uchunguzi wa mifumo ya udhibiti wa ndani na kuandaa hoja za ukaguzi
Kufanya ukaguzi wa kushtukiza wa fedha
Kutekeleza mwongozo wa ukaguzi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi
Kushirikiana na wakaguliwa kujadili masuala ya maendeleo ya ukaguzi
Kukagua matumizi, maendeleo, amana, wakala,



miradi maalum na mapato ya Serikali
Kutayarisha barua, hoja na taarifa za ukaguzi za kila mwaka
Kufanya kazi nyingine zitakazopangiwa kulingana na fani yake

? Sifa za Mwombaji

Waombaji Wanapaswa Kuwa Na Mojawapo Ya Sifa Zifuatazo

Shahada ya Kwanza ya Biashara au Sanaa yenye mwelekeo wa Uhasibu
Bachelor of Accounting with Information Technology
Bachelor of Accounting and Finance
Bachelor in Public Sector Accounting and Finance

Vyeti vinapaswa kuwa kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

? Mshahara

Mshahara utalipwa kulingana na ngazi ya SAIS. E kwa mujibu wa utaratibu wa Serikali.

?️ Jinsi ya Kuomba

Waombaji wote wanatakiwa kuomba kazi kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal.

Omba Kazi Kupitia Ajira Portal

Tarehe ya mwisho ya kuomba: 24 Januari 2026

? Pata Taarifa Zaidi za Ajira

Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kwa ajira za Serikali, sekta binafsi, maandalizi ya usaili na fursa za uhasibu na biashara.

Follow US

📌 MKAGUZI DARAJA LA II (Uluberia)
🏢 Vedastus Watosha
📍 Uluberia

Reply to this offer

Impress this employer describing Your skills and abilities, fill out the form below and leave Your personal touch in the presentation letter.

Subscribe to this job alert:

Get the latest job offers by email for: mkaguzi daraja la ii (uluberia) / uluberia