Home
JOB ALERT
USAILI PORTAL
MKAGUZI DARAJA LA II
MKAGUZI DARAJA LA II – Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
Discover more business
Finance
Civil Engineering
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) imetangaza ajira mpya kwa nafasi ya MKAGUZI DARAJA LA II zenye jumla ya nafasi 121 . Hii ni fursa muhimu kwa wahitimu wa uhasibu na fedha wanaotamani kufanya kazi serikalini.
? Taarifa za Kazi
- TaasisI: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
- Cheo: Mkaguzi Daraja la II
- Idadi ya Nafasi: 121
- Ngazi ya Mshahara: SAIS. E
- Kipindi cha Maombi: 10/01/2026 – 24/01/2026
? Majukumu ya Kazi
- Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (audit programme)
- Kuandaa taarifa za kila robo mwaka na kuziwasilisha kwa msimamizi wa kazi
- Kukagua hati za malipo, stakabadhi na akaunti za benki
- Kufanya uchunguzi wa mifumo ya udhibiti wa ndani na kuandaa hoja za ukaguzi
- Kufanya ukaguzi wa kushtukiza wa fedha
- Kutekeleza mwongozo wa ukaguzi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi
- Kushirikiana na wakaguliwa kujadili masuala ya maendeleo ya ukaguzi
- Kukagua matumizi, maendeleo, amana, wakala, miradi maalum na mapato ya Serikali
- Kutayarisha barua, hoja na taarifa za ukaguzi za kila mwaka
- Kufanya kazi nyingine zitakazopangiwa kulingana na fani yake
? Sifa za Mwombaji Waombaji Wanapaswa Kuwa Na Mojawapo Ya Sifa Zifuatazo
- Shahada ya Kwanza ya Biashara au Sanaa yenye mwelekeo wa Uhasibu
- Bachelor of Accounting with Information Technology
- Bachelor of Accounting and Finance
- Bachelor in Public Sector Accounting and Finance
Vyeti vinapaswa kuwa kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. ? Mshahara
Mshahara utalipwa kulingana na ngazi ya SAIS. E kwa mujibu wa utaratibu wa Serikali.
?️ Jinsi ya Kuomba
Waombaji wote wanatakiwa kuomba kazi kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal.
Omba Kazi Kupitia Ajira Portal
Tarehe ya mwisho ya kuomba: 24 Januari 2026
? Pata Taarifa Zaidi za Ajira
Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kwa ajira za Serikali, sekta binafsi, maandalizi ya usaili na fursa za uhasibu na biashara.
Follow USAILI PORTAL on WhatsApp
Kwa maoni au ushirikiano wa kibiashara:
[email protected] You may like these posts
- Nafasi za Kazi ATCL SACCOS LTD – Dar es Salaam 2026
- MKAGUZI DARAJA LA II
- Finance and Accounts Officer Job at PAPU – TCRA 2026
- Maswali ya Maadili na Tabia (Behavioral Questions) kwa Wahasibu: Mwongozo wa Usaili wa Utumishi 2026
- DIRECT SALES AGENT AT EXIM BANK TANZANIA
- ORAL INTERVIEW TIPS & TRICKS
- MKAGUZI DARAJA LA II – Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
- ? Taarifa za Kazi
- ? Majukumu ya Kazi
- ? Sifa za Mwombaji
- ? Mshahara
- ?️ Jinsi ya Kuomba
- ? Pata Taarifa Zaidi za Ajira
Popular post B3 AUDITING PRINCIPLES & PRACTICE
Auditing Principles and Practice Test 01 - Instructions Format: This exam consists of 100 multiple-c…
Job Vacancy: Financial Accountant at Ubuntu Impact (Dar es Salaam)
Nafasi za Kazi ATCL SACCOS LTD – Dar es Salaam 2026
Job Vacancy: Assistant Manager – Supply Chain at Exim Bank Tanzania
Labels
ADVANCED TAXATION
AUDITING PRINCIPLES & PRACTICES
BANKER
BOOKKEEPING
BOOKS DOWNLOAD
Business
BUSINESS AND MANAGEMENT
BUSINESS ECONOMICS
BUSINESS LAW
CORPORATE REPORTING
COST ACCONTING
CPA
Cyber Security
FINANCE
FINANCIAL ACCOUNTING
FINANCIAL MANAGEMENT
FINANCIAL REPORTING
INFORMATION TECHNOLOGY
INTERNATIONAL FINANCE
JOB ALERT
MANTAING FINANCIAL RECORDS
ORAL INTERVIEW
PERFORMANCE MANAGEMENT
PUBLIC FINANCE
RECORDING FINANCIAL TRANSACTIONS
SCHOLARSHIP
SENIOR ACCOUNTANT
Technology
TIPS
USAILI PORTAL
USAILI PORTAL MANAGING COSTS AND FINANCE
UTUMISHI
📌 MKAGUZI DARAJA LA II (Uluberia)
🏢 Vedastus Watosha
📍 Uluberia