Home JOB ALERT USAILI PORTAL MKAGUZI DARAJA LA II MKAGUZI DARAJA LA II – Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) Discover more business Finance Civil Engineering Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) imetangaza ajira mpya kwa nafasi ya MKAGUZI DARAJA LA II zenye jumla ya nafasi 121. Hii ni fursa muhimu kwa wahitimu wa uhasibu na fedha wanaotamani kufanya kazi serikalini. ? Taarifa za Kazi TaasisI: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
Cheo: Mkaguzi Daraja la II
Idadi ya Nafasi: 121
Ngazi ya Mshahara: SAIS. E
Kipindi cha Maombi: 10/01/2026 – 24/01/2026 ? Majukumu ya Kazi Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (audit programme)
Kuandaa taarifa za kila robo mwaka na kuziwasilisha kwa msimamizi wa kazi
Kukagua hati za malipo, stakabadhi na akaunti za benki
Kufanya uchunguzi wa mifumo ya udhibiti wa ndani na kuandaa hoja za ukaguzi
Kufanya ukaguzi wa kushtukiza wa fedha
Kutekeleza mwongozo wa ukaguzi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi
Kushirikiana na wakaguliwa kujadili masuala ya maendeleo ya ukaguzi
Kukagua matumizi, maendeleo, amana, wakala, miradi maalum na mapato ya Serikali
Kutayarisha barua, hoja na taarifa za ukaguzi za kila mwaka
Kufanya kazi nyingine zitakazopangiwa kulingana na fani yake ? Sifa za Mwombaji Waombaji Wanapaswa Kuwa Na Mojawapo Ya Sifa Zifuatazo Shahada ya Kwanza ya Biashara au Sanaa yenye mwelekeo wa Uhasibu
Bachelor of Accounting with Information Technology
Bachelor of Accounting and Finance
Bachelor in Public Sector Accounting and Finance Vyeti vinapaswa kuwa kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. ? Mshahara Mshahara utalipwa kulingana na ngazi ya SAIS. E kwa mujibu wa utaratibu wa Serikali. ?️ Jinsi ya Kuomba Waombaji wote wanatakiwa kuomba kazi kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal.
Omba Kazi Kupitia Ajira Portal
Tarehe ya mwisho ya kuomba: 24 Januari 2026 ? Pata Taarifa Zaidi za Ajira Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kwa ajira za Serikali, sekta binafsi, maandalizi ya usaili na fursa za uhasibu na biashara. Follow USAILI PORTAL on WhatsApp Kwa maoni au ushirikiano wa kibiashara:
[email protected] You may like these posts Nafasi za Kazi ATCL SACCOS LTD – Dar es Salaam 2026 MKAGUZI DARAJA LA II Finance and Accounts Officer Job at PAPU – TCRA 2026 Maswali ya Maadili na Tabia (Behavioral Questions) kwa Wahasibu: Mwongozo wa Usaili wa Utumishi 2026 DIRECT SALES AGENT AT EXIM BANK TANZANIA ORAL INTERVIEW TIPS & TRICKS MKAGUZI DARAJA LA II – Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
? Taarifa za Kazi
? Majukumu ya Kazi
? Sifa za Mwombaji
? Mshahara
?️ Jinsi ya Kuomba
? Pata Taarifa Zaidi za Ajira
Popular post B3 AUDITING PRINCIPLES & PRACTICE Auditing Principles and Practice Test 01 - Instructions Format: This exam consists of 100 multiple-c… Job Vacancy: Financial Accountant at Ubuntu Impact (Dar es Salaam) Nafasi za Kazi ATCL SACCOS LTD – Dar es Salaam 2026 Job Vacancy: Assistant Manager – Supply Chain at Exim Bank Tanzania Labels ADVANCED TAXATION AUDITING PRINCIPLES & PRACTICES BANKER BOOKKEEPING BOOKS DOWNLOAD Business BUSINESS AND MANAGEMENT BUSINESS ECONOMICS BUSINESS LAW CORPORATE REPORTING COST ACCONTING CPA Cyber Security FINANCE FINANCIAL ACCOUNTING FINANCIAL MANAGEMENT FINANCIAL REPORTING INFORMATION TECHNOLOGY INTERNATIONAL FINANCE JOB ALERT MANTAING FINANCIAL RECORDS ORAL INTERVIEW PERFORMANCE MANAGEMENT PUBLIC FINANCE RECORDING FINANCIAL TRANSACTIONS SCHOLARSHIP SENIOR ACCOUNTANT Technology TIPS USAILI PORTAL USAILI PORTAL MANAGING COSTS AND FINANCE UTUMISHI
📌 MKAGUZI DARAJA LA II (Uluberia)
🏢 Vedastus Watosha
📍 Uluberia